TAMKO LA GAWIO KWA MWAKA 2017

Bodi ya wakurugenzi ya Maendeleo  Bank Plc imependekeza gawio la shilingi 21 kwa kila hisa iliyotolewa na kulipiwa kufuatana na sera ya benki ya gawio, ikizingatia ruhusa ya Mkutano Mkuu wa mwaka wa wanahisa utaofanyika tarehe 23 June, 2018.

Kwa kufuata Ruhusa ya mapendekezo ya gawio, ratiba ya malipo ya gawio itakua kama ifuatavyo;

  • Tangazo la malipo ya Gawio:                       28 Mei 2018
  • Kuuza hisa zenye Gawio:                             28.Mei 2018 – 15.Juni 2018
  • Kuuza hisa zisizo na gawio: Kuanzia              16.June.2018
  • Kufunga Rejesta ya Wajumbe:                      20.Juni 2018
  • Kufungua Rejesta ya Wajumbe:                    21 Juni 2018
  • Malipo ya Gawio:                                        20.Julai  2018
Documents Downloads: 
AttachmentSize
TAMKO LA GAWIO KWA MWAKA 2017.pdf233.57 KB