Uuzaji wa Hisa za Maendeleo Bank umenza 18.9.2017

Hisa ni sehemu ya  umiliki kwenye kampuni . Mtu anayemiliki hisa ankuwa  na haki  na wajibu kama ilivyoainishwa kwenye nyaraka za kampuni.

Manufaa ya Kumiliki hisa.

Utakuwa na haki zifuatazo:

  • Kupata gawio , ikiwa kama imetamkwa na kampuni.
  • Kupata taarifa na kuweza kupiga kura katika mkutano mkuu wa mwaka au mikutano mingine ya wanahisa.
  • Kupata maelezo ya kampuni kupitia taarifa za mwaka na taarifa za vipindi mbalimbali.
Documents Downloads: 
AttachmentSize
HISA.pdf1.4 MB