Moja kati ya majukumu yetu makubwa ni kujitolea kwa jamii tunayoipatia huduma, na katika kutimiza hilo leo Maendeleo Bank tumefanya zoezi la kuchangia damu salama tukishirikia na watanzania wote waliojitokeza katika zoezi hili. 

Hizi ni baadhi ya picha katika zoezi la utoaji damu.