Sasa yapata miaka 7 toka kuanzishwa kwa Maendeleo Bank, leo Dean Chadiel Lwiza ameongoza Ibada takatifu na tukio la kukata keki kama sehemu ya sherehe za kutimiza miaka saba ya benki tangu kuanzishwa kwake. 


Baadhi ya picha katika tukio la kukata keki.