KUFUNGWA DIRISHA LA UUZAJI WA HISA ZA MAENDELEO BANK

•    Maendeleo Bank wanakukaribisha kununua hisa za maendeleo bank kabla ya siku ya alhamisi ya tarehe 31.12.2020 saa kumi jioni ambapo dirisha la uuzaji wa hisa za Maendeleo Bank litafungwa.

•    Hisa moja ni shilingi 600 na kiwango cha chini ni kununua Hisa Mia Moja (100) sawa na Shilingi Elfu Sitini (60,000) kwa wale wote ambao bado hawajanunua.

•    Kwa walioahidi kununua na wanaohitaji kuongeza hisa mnaombwa kununua kabla ya tarehe 31.12.2020.

•    Nunua hisa za Maendeleo Bank leo katika matawi ya benki yaliyopo Posta Luther House, Mwenge Chuo Kikuu cha TURDACO, Kariakoo na kwa mawakala wa Maendeleo Bank waliopo sehemu mbalimbali.

•    Benki inawashukuru wale wote ambao wamenunua hisa na ambao wanapata huduma za kibenki kupitia Maendeleo Bank.

•    Faida za uwekezaji na Maendeleo Bank ni nyingi kwa mtu mmoja mmoja, jamii na kwa kanisa kwa ujumla. 

•    Unaweza kupata taarifa zaidi kupitia website ya www.maendeleobank.co.tz au piga simu namba 0677 500 050

MAENDELEO BANK, PAMOJA NAWE KATIKA MAENDELEO